Posts

Showing posts from September 13, 2016

Alikiba kupeform kwenye usiku wa Tuzo za Mtv Africa Music Awards 2016 ‘MAMA’S’..

Image
Meneja wa RockStar 4000  Seven Mosha amethibitisha kuwa msanii wao The King Ali Kiba  atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA ‘ MTVAfrica Music Awards 2016 ‘. Show Hii itafanyika 22, October, 2016.

BURUDANI Baraka The Prince na Alikiba kugusa headlines za Bongofleva…

Image
Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha  Bongo Fleva  utagusa headlines za burudani baada ya msanii  Baraka The Prince  kuachia single yake mpya aliyomshirikisha msanii  Alikiba,  wimbo umepewa jina la Nisamehe. Tarehe hiyo imethibitishwa na Baraka The Prince kupitia kwenye ukurasa wake wa Tw itter