Posts

Showing posts from May 2, 2016

R.C Paul Makonda na Wafanyakazi Hewa

Mei 2 2016 Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul  Makonda  amewaapisha wakuu wa idara na maofisa utumishi wote wa manispaa hiyo ili kusaidia kubaini watumishi hewa. Makonda kafikia hatua hiyo baada ya watumishi hao kuwa wanampa idadi tofauti kila anapohitaji kupata taarifa, akizungumza na Waandishi wa habari Dar es salaam Makonda anasema.. >>> ‘Mara ya kwanza mliniambia  tuna watumishi hewa 71, mara ya pili mkasema 87 na mara ya tatu wakapungua hadi 66 tena mara zote hizi ni idadi ya watumishi hewa kimkoa jambo ambalo roho wa Mungu alinikataza kutangaza‘ ‘ Sasa Mungu kanipa njia ambayo nimewaambia wiki iliyopita, Leo hii wameongezeka wamefika watumishi hewa 209 huku ziai ya bilioni 2 zikipotea. Je, nisinge msikiliza Mungu si mgenifanya nikafukuzwa kazi? ‘ Baada ya maelezo hayo Mkuu wa mkoa akawapatia mikataba ya viapo katika kutafuta watumishi hewa, lengo likiwa ni kuwataka kila mtumishi kuwabainisha watumishi wao hewa katika idara zao na atakayebainika kutoa taarifa z...

NAFASI ZA KAZI

Ingia hapa kupata kazi http://www.tanzania.newjobvacancies.org/clerical-assistants-jobs/assistant-manager-kcb-bank/?utm_source=feedburner&utm_medium=email&utm_campaign=Feed%3A+Jobistan-Tanzania+%28Tanzania+Jobs%29

Kishuka kwa Mizigo Bandarini

Image
   Wakati mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam inakuwa sawa, ziliripotiwa habari mpya kuwa Bandari ya Dar es Salaam imepungua kupokea mizugo kupitia Bandari hiyo.             Habari za kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ziliingia kwenye headlines, baada ya vyombo vingi vya habari kuandika na kuripoti kuhusiana na ishu hiyo, kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania Injinia Alois Matei ameweka wazi sababu za mizigo kupungua. “Biashara za bandari dunia nzima zimeshuka kipindi hiki kuna mtikisiko kidogo kutokana na uchumi wa dunia, hata juzi tuliongea na wenzetu wa Singapore ambao walikuja, nchi yao ni moja ya nchi inayofanya biashara ya bandari kwa kiasi kikubwa wanasema ni kweli wame kumbana na tatizo hilo la kushuka kwa mizigo katika kipindi cha hii miezi mitatu “ #MillardAyoUPDATES. Mamlaka ya Bandari Tan...
Video mpya kutoka kwa Mafikizolo na Diamond Platnumz

Kipepeo ya Kayumba Juma . Mshindi BSS 2015.

Msanii wa Bongo fleva ambaye jina lake au kipaji chake kilianza kuonekana kupitia mashindano ya Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia ngoma yake mpya ‘Kipepeo’ akimshirikisha Enock Bella , Kayumba kaachia hiyo baada ya awali kufanya vizuri na video ya ngoma yake ya kwanza ‘Katoto’ .

Platnumz afanya kweli Dodoma

Image
        Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao pamoja na wafanyakazi wenzake wakifurahia moja ya nyimbo za mwanamuziki Nasib Abdul”Diamaond Platinum’s” alipokuwa akitumbuiza wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Msanii mahiri wa Mziki wa kizazi kipya,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ' akitumbuza vilivyo wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa Vodacom Tanzania mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakicheza na Mwanamuziki anayetamba katika medani ya muziki wa kitaifa na Kimataifa ,Nasibu Abdul 'Diamond Platinum’s ', wakati wa hafla ya kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora wa kampuni hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Matangazo ya Bunge Kurushwa Live?

Image
          Wabunge wa CCM jana waliibuka kidedea walipowazidi wenzao wa upinzani kwa kura za sauti “Siyooooo” kuikataa hoja ya kutaka matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja ‘live’ na televisheni. Hiyo ilitokea jana wakati Bunge lilipokaa kama kamati kupitisha bajeti ya Ofisi ya Rais (Tamisemi na Utumishi na Utawala Bora) na kuzua mvutano mkali uliosababisha bajeti hiyo ipitishwe kwa utaratibu wa wabunge kutohoji kitu chochote (guillotine). Wakati hoja yao hiyo ikipingwa kila kona, tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti, wabunge hao wa upinzani sasa wamebuni mbinu mpya ya kujirekodi wenyewe wakati wakichangia mijadala mbalimbali bungeni na kurusha sauti zao kwenye mitandao ya kijamii na kupeleka sauti hizo kwenye redio zilizopo katika maeneo ya majimbo yao. Mbunge wa Malindi (CUF), Ally Salehe ndiye aliyeibua hoja hiyo akitaka kushika mshahara wa waziri kwa maelezo kuwa kuzuia Bunge kurushwa ‘live’ ni kinyume na utawala bora na haki ya kupata habari. Hoja hiy...

Bye Bye Mzee Majuto

Image
    Siku  ya kwanza ya May 2016 jina la Mzee Majuto limetajwa tena kwenye vichwa vya habari kuhusu kuacha kwake kuigiza, kama utakumbuka aliwahi kuongea na Millard Ayo mwaka 2014 na kusema angestaafu kuigiza mwaka 2015 lakini hakustaafu, akaendelea na movie zake. Kauli yake mpya leo May 1 2016 kupitia Instagram ya CloudsFM kuna maelezo yafuatayo >>> ‘Gwiji la sanaa ya maigizo nchini Amri Athmani aka Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kuigiza na kutumia muda wake kumtumikia mola wake. Majuto amekuwa akifanya sanaa hii ya maigizo kwa muda mrefu na alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 90’