Posts

Showing posts from November 15, 2016

U Heard: Kilichotokea kwenye familia ya Calisah baada ya video yake na Wema Kuvuja

Image
November  14 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na Calisah kuhusu video iliyomuonesha yeye akiwa na  staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu wakikiss, Calisah amesema baada ya video hiyo kuvuja, bibi yake alipoambiwa kwa sababu alikuwa anamtetea sana Calisah alipata mshituko na kufariki…… >>>’Hayo mambo yamesababisha mpaka nimepoteza mtu, amepata presha amefariki leo, siko sawa kabisa imenicost sana hata siwezi kuongea nimepoteza bibi yangu kwa sababu ya hivi vitu imeniumiza sana halafu mimi sijafanya hivyo vitu nivujishe video ili iweje ‘ ;- Calisah

NEW VIDEO ; Chinbees ''ZUZU"

Image
  Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo  Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’  hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’   uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records, Chin Beez ameifanya video ya Zuzu.