Posts

Showing posts from September 7, 2016

Exclusive: Harmonize aogopa kufanya collabo na Raymond ?

Image
Hivi karibuni kwenye mitandao ya jamii kumekuwa na sekeseke kwa msanii wa bongo fleva,Harmonize kutoka kwa mashabiki wakitaka kujua kwanini hafanyi kolabo na mwana WCB mwenzake Raymond huku mashabiki wengi wakishilikia bango kuwa Harmonize anaogopa kufunikwa na Raymond. Alipoulizwa kuhusu suala la yeye kutokufanya kolabo na Raymond,Harmonize alidai kuwa hana sababu ya kuhofia kufanya kazi na msanii mwenzake Raymond na kudai kwamba kama kuogopa angeogopa kufanya kazi na boss wake ,Diamond Platnumz. “ Unajua kolabo ni biashara ya kubadilishana mashabiki,ndio maana mimi nilifanya na Diamond ili uwafikie watu wengi.Lakini ukija kwa Rayvanny na mimi,mimi ndiye nilianza kutoka kwa hiyo lazima nitengeneza misingi ili hata akija kufanya kolabo na mimi ajivunie,kihusu swala la kumwogopa kuwa atanifunika sio kweli,kama ndio hivo bhasi ningeogopa kufanya kolabo na Diamond maana anajua kuliko Rayvany na ana hits nyin gi “,alifunguka Harmonize kwenye kipindi cha Enewz cha Eatv.

New Vide :Nay wa Mitego kafanya video yake mpya na ‘Nicrox’ director wa Make Me Sing ya Diamond.

Image
Muongozaji wa video aliyetayarisha video za watanzania kama  Bado ya Harmonize, Make Me Sing ya Diamond na Aka , na Moyo Mashine ya Ben Pol ‘ Nicrox ‘ ametayarisha video mpya ya Nay Wa Mitego. True Boy amepost video mbili akiwa na director huyu huku akitusii kujiunga naye kwenye Youtube account yake ili tuweze kuona video yake mapema zaidi. Mkisema Chapaaaaaa nakiwasha.!! #KaaMbaliNao A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on Sep 4, 2016 at 1:26pm PDT Subscribe YouTube Channel Yangu.. Kuwa wakwanza kuangalia video yangu mpya itakayotoka soon! Link Kwenye Bio yangu.... #KaaMbaliNao A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on Sep 5, 2016 at 5:32am PDT

Harmonize na Jackline Wolper hawaonyeshani mapenzi hadharani tena,nini tatizo?Harmonize amefunguka..

Image
Harmonize na Jackline Wolper ni moja kati ya couples iliyoanza kwa mbwembwe nyingi na ku kiki kwenye vyombo vingi vya habari,lakini kwa sasa couple hiyo imeoneka kupoa tofauti na mwanzoni. Alipoulizwa kwenye kupindi cha Enewz cha Eatv kama kuna tatizo,Harmonize amedai hakuna tatizo kati yake na Wolper bali upya wa penzi ulikuwa ukiwasumbua na pia kwa sasa wameshakuwa watu wazima kwa hiyo hawana haja ya kujianiaka kila siku. “ Siku zinavyokwenda binadamu anapata mawazo mapya na umri unazidi kusogea,pia kuna kitu kinaitwa upya,inawezekana upya ulikuwa unatusumbua,shamra shamra watu wajue kwamba tunapendana lakini sasa hivi imeshazoeleka kwamba Harmonize na Wolper wako hivi “,Alieleza Harmoniz

Picha: Ray C kapost muonekano wake mpya instagram

Image
Usiku wa  June 16 2016  kuamkia  June 17  kuna video ya mwimbaji wa longtime Bongoflevani  Rehema  C halamila  au  Ray C  ilisambaa mitandaoni akiwa anachukuliwa na gari la Polisi Kinondoni Dar es salaam ambapo baadae ilikuja kugundulika alipelekwa Hospitali. Kesho yake mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group   Ruge Mutahaba  aliongea na  Amplifaya  ya  CloudsFM  pamoja na millardayo.com  na kuthibitisha kwamba mwimbaji huyu amekubali mwenyewe kwa hiari yake na kupelekwa kwenye nyumba ya matibabu ya kuachana na dawa za kulevya huko Bagamoyo Pwani. Sasa basi staa huyo akiwa bado yuko Sober House iliyopo Kigamboni leo Sept 7, 2016 amepost muonekana wake mpya kupitia kwenye mtandao wa instagram na kuyaandika haya > Bidii yangu inategemea nguvu yako tu baba’ Bidii yangu inategemea nguvu yako tu baba. A photo posted by Ray C (@rayc1982) on Sep 7, 2016 at 7:21am PDT