VIDEO: Rais Magufuli alivyojibu Waandishi kwenye Maswali na Majibu IKULU (PART 1)
November 4 2016 Rais Magufuli alikutana na Waandishi wa habari IKULU , ni baada ya kuwaalika kwenye kutimiza kwake mwaka mmoja toka aingie madarakani na kwenye hii video ( PART 1 ) anajibu maswali waliyomuuliza, tazama hii video hapa chini.