Posts

Showing posts with the label sports

Maneno makali ya Paul Pogba Kwa mashabiki.

Image
Jumapili ya Septemba 18 2016 klabu ya Man United  ilishuka dimbani kucheza mchezo wake wa tano wa Ligi Kuu England  dhidi ya  Watford  ambao walikuwa wenyeji wa mchezo huo,  Man United  wakiwa ugenini waliruhusu kufungwa magoli 3-1 na huo kuwa mchezo wao wa tatu mfululizo kupoteza. Baada ya kupoteza mchezo huo ambao ulikuwa wa tatu baada ya kupoteza dhidi ya  Man City  katika dimba la  Old Trafford kwa goli 2-1 na kupoteza dhidi ya Feyenoord  katika mchezo wa  Europa League  kwa goli 1-0, presha mitandaoni iliendelea kumuandama  Paul Pogba aliyenunuliwa kwa dau kubwa na kuweka rekodi ya usajili. Kiungo huyo wa  Ufaransa  ambaye hajafanya vizuri bado akiwa na  Man United  toka avunje rekodi ya usajili alitumia account yake rasmi ya instagram kuandika ujumbe kwa mashabiki  “Asante kwa mashabiki wote kuwa pamoja na sisi matokeo bado sio mazuri kwa upande wetu, lakini tunaendelea kupambana, ...

MICHEZO PICHA: Kiatu ADIDAS walichomtengenezea Pogba kwa ajili ya mechi na Man City

Image
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Ujerumani ADIDAS tayari imetengeneza kiatu maalum atachovaa mchezaji aliyeuzwa kwa gharama ya juu zaidi katika rekodi ya usajili Paul Pogba kwa ajili ya mchezo wa derby utakaochezwa weekende. ADIDAS ambao wana mkataba wa udhamini na Paul Pogba wametengeneza kiatu maalum kwa ajili wa nyota huyo wa Ufaransa aliyejiunga na Man United akitokea Juventus..

Zlatan Ibrahimovic anavyojitamba kuwa kachangia pesa za usajili wa Pogba Man United

Image
Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden ambaye amejiunga na klabu ya Man United msimu huu kama mchezaji huru akitokea klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Zlatan Ibrahimovic , ameingia kwenye headlines baada ya kupost picha ya kiungo Paul Pogba aliyerudi Man United na kuandika maneno ya kuchekesha kidogo. Zlatan amepost picha akiwa na Paul Pogba katika account yake binafsi ya instagram na kuandika “Finally My shirt brought him back @paulpogba” kauli hiyo kwa lugha ya kiswahili ina maana kuwa mauzo yake ya jezi pekee alipojiunga na Man United yametosha kulipa fedha za usajili wa Pogba kutoka Juventus kurejea Man United . Baada ya Zlatan kupost hivyo Pogba nae alimjibu kwa kupost video ya utani instagram wakiwa pamoja na kusema kuwa “this guy wants to get  famous” lakini Zlatan akamjibu kuwa yeye ndio kampost kumfanya apate umaarufu, Pogba ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Bournemouth kutokana na kutumikia adhabu ya kadi mbili za njano.

Pep Guardiola katambulishwa mbele ya mashabiki 5,800 wa Man City,alichosema kuhusu kumsajili Lionel Messi.

Image
Pep Guardiola ’45’ ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu ya Manchester City kama kocha wao mpya. Guardiola mbele ya mashabiki 5,800 kwenye jukwa la shule ya mpira ya Man City Football Academy. Pep Guardiola anaanza mazoezi na Man City Jumatatu ya July 3 2016,Guardiola pia ameongelea tetesi za kumsajili Lionel Messi  kutoka Barcelona nakusema “ Hilo jambo haliko kabisa kwenye mipango yangu “

Portugal / Ureno

Image
Baada ya kusimama kwa takribani siku mbili kwa ajili ya mapumziko ya mechi za Euro 2016 , usiku wa June 30 2016 ulichezwa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano hiyo ya Euro 2016 , mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Euro 2016  ulikuwa kati ya Poland na Ureno .  Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Stade Velodrome jijini Marseille Ufaransa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya elfu 60, umemalizika kwa timu ya taifa ya Ureno kuibuka na ushindi wa mikawaju ya penati 3-5, hiyo inatokana na dakika 120 kumalizika kwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na Robert Lewandoski dakika ya 2 kwa Poland na Renato Sanchez dakika 33 kwa upande wa Ureno.   Kwa matokeo hayo Ureno inakuwa timu ya kwanza kufuzu katika hatua ta robo fainali na itakutana na mshindi kati ya Wales dhidi ya Ubelgiji , kama utakuwa unakumbuka vizuri Ureno katika mechi 11 amewahi kuifunga Poland mara 5, sare mara 3 na amewahi kupoteza mara 3 toka October 16 1976...

Wiz Kid

Image
Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines leo June 30 2016  kupitia kituo kikubwa cha kimataifa   MTV Base wameripoti kuwa Wizkid amefanya collabo msanii wa marekani  Chrisbrown kwenye hit yake mpya iitwayo “SHABBA” . https://youtu.be/a-mu2iQY8yQ   Bofya hapo juu kutazama vidio ya nyimbo hiyo .

EURO 2016

Image
Portugal wins over Poland through penalty shootouts. Since there were no winner after the full time. Robert Lewandowski was the first one to open the scoring follows by the Portugal equalizer from Luz Sanchez.

About fifa bosses

The sheer scale of corruption at the top of Fifa was revealed on Friday when lawyers said three high-ranking former officials – Sepp Blatter, Jérôme Valcke and Markus Kattner – had awarded themselves pay rises and World Cup bonuses totalling 79m Swiss francs (£55m). The lawyers acting for Fifa said the contracted payments were made during the officials’ last five years in office and appeared to violate Swiss law. Evidence will now be given to the US justice department and to Swiss federal prosecutors who are investigating the corruption scandal engulfing the world football body. “The evidence appears to reveal a coordinated effort by three former top officials of Fifa to enrich themselves through annual salary increases, World Cup bonuses and other incentives totalling more than 79m Swiss francs in just the last five years,” said Bill Burck of Quinn Emanuel, the US law firm retained by Fifa during its corruption crisis. Fifa revealed deta...

Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Ni kati ya Real Madrid na Atletico Madrid au Zidane na Diego simion. Timu hizo mbili zimefanikiwa kuingia kataka fainali ya michuano hiyo baada ya Bayern Munich ya Ujerumani kushindwa kufunga mabao ya kutosha dhidi Atletico Madrid ya Hispania . Pia Manchester City ya England imeshindwa kung'ara mbele ya Real Madrid ya Hispania baada ya kupokea kichapo cha goli moja kwa bila, goli hilo lilifungwa na Gareth Bale dakika ya 20' ya Mchezo huo. Kwa matokeo hayo na kwa sheria za UEFA CHAMPIONS LEAGUE fainali in kati ta Real Madrid na Atletico Madrid Kama kawa kama dawa kombe linabaki Hispania.

CR7 atacheza dhidi ya Manchester City

Image
   Jibu ni ndiyo. Mchezaji Christiano Ronaldo wa Real Madrid atacheza michuano ya nusu  fainali ya UEFA Champions league wakivaana na Manchester  City  baada ya kupata majibu ya vipimo vilivyopimwa mapema Leo hii. Hii imethibitishwa na daktari wa timu pamoja na kocha wa Real  Madrid

Leicester City Washangilia Ubingwa nyumbani kwa Vardy

Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotoka Tottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge , wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea.    Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama Chelsea, Man United Arsenal na nyinginezo.      

Matokeo EPL leo

Image
  Leicester   City wameshindwa kutwaa ubingwa baada ya kushindwa kutamba mbele ya mashetani wekundu Manchester United kwa kutoka safe ya 1-1. Wakati Manchester City imepokea kipigo kilali kutoka kwa Southampton baada ya kupigwa 4-2 Pia Swansea imempiga Liverpool goli 3-1

Simba vs Azam

Image
   Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo Mei 1 2016 kwa mchezo kati ya Simba dhidi ya Azam FC kuchezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam , huu ni mchezo wa 26 kwa vilabu vyote na ulikuwa mchezo muhimu kwa kila klabu hili kujiweka pazuri katika nafasi ya kuwania ubingwa. Azam FC kabla ya mchezo dhidi ya Simba kumalizika kwa sare ya 0-0 walikuwa na point 58 wakiwa nafasi ya pili ya Ligi, wakati Simba walikuwa nafasi ya tatu wakiwa na point 57 wakiongozwa na Yanga ambao wapo kileleni wakiwa na point 65 na michezo 26. Sare ya mchezo huu ilikuwa ni furaha kwa Yanga ambao wameongeza tofauti ya point kwa Azam FC na Simba . Kwa idadi ya mechi Simba na Azam FC huu ulikuwa ni mchezo muhimu kwao kuhakikisha wanapata point tatu ili kuweza kupunguza tofauti yao ya point na Yanga wanaoongoza Ligi wakiwa na tofauti ya point sita na Azam FC anayefuatia, umuhimu wa mchezo kwa pande zote mbili ndio ulifanya mchezo kuwa na tension kubwa kitu ambacho kilifanya wachezaji wa pande zote ...