Kodi za kuwadhalilisha wanawake zapigwa marufuku
MAGUFULI HOME NIFAHAMU WASILIANA NAMI MATANGAZO TEAM WASTARA AELEZA KWANINI NDOA YAKE IMEVUNJIKA NDANI YA SIKU 80 ALICHOKIFAYA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ZILIZOSOMWA SANA MGAWANYO WA STORI RELATED ITEMS DODOMA HABARI DAILY Mei 8 2016 ni siku ya mama wakinamama Duniani, Tanzania pia imekuwa moja ya nchi iliyofanya maadhimisho hayo, Hapa nakukutanisha na Makamu wa Rais Samia Suluhu ambaye leo alikuwa Dodoma na baada ya kutotubia wananchi wake akaguswa na hili la kodi kwa wafanyabiashara wanawake na kutoa maamuzi.. ‘ Mimi kama mama nachukizwa na jambo moja kubwa nililoliona kule Moshi na baaadhi ya maeneo kule Arusha, kuna kodi zinatolewa katika masoko, Ukipita masoko ya Moshi na Arusha Unakuta wakinamama wanasimama na ndizi kichwani anasimama na ndizi yake hadi aiuze’ ‘Na akiiweka chini anatozwa kodi na kodi ile ni sawa na bei anayoiuza. Kwahiyo mama anabakia na ndizi yake kichwni mpaka aiuze .’ ‘Naelekeza Wakurugenzi wa halmashauri kufuta kodi m...