Posts

Showing posts with the label Entertainment

FULL LIST: Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, NavyKenzo wametajwa kwenye Tuzo za SoundCityMVP2016

Image
  Mastaa ambao wako A-List kwenye muziki wa BongoFlava kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, NavyKenzo, Vanessa Mde na Alikiba wametajwa kwenye list ya wasanii wanaowania tuzo za SoundCityMVP zinazoandaliwa na kutolewa na kituo cha TV kutoka nchini Nigeria cha Sound City TV. Tayari majina na category zote za wasanii watakawania tuzo hizo yametangazwa na kituo hicho huku zikiwa na ushindani mkubwa kwa namna vipengele vilivopangwa. Diamond Platnumz anawania tuzo mbili ikiwemo Msanii Best African Of The Year pia atachuana na mastaa wengine kwenye tuzo ya “Best Male” ambao ni rapa Emtee kutoka South Africa, Wizkid (Nigeria), Patoranking (Nigeria), Falz (Nigeria), Olamide (Nigeria) na Phyno (Nigeria). Alikiba anawania tuzo ya Video Bora akicompete na mastaa wengine kama Mr. Eazi – SkinTight, Patoranking – No Kissing, Eddy Kenzo – Mbilo Mbilo, Emtee – Roll Up, DJ Maphorisa – Soweto Baby, Phyno – Fada Fada, Olamide – Who You Epp, Harry Song – Raggae Blues na...

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that

Image
    Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins , Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic ‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.

NEW VIDEO ; DAVIDO FT NASTY C - CCOLEST KID IN AFRICA

Image
Mkali kutoka pande za west Africa "Nigeria" anaejulikana kwa jina la Davido ameachia video yake mpya kabisa .... Itazame hapo chini

VIDEO: Walter Chilambo katangaza kuiacha Bongofleva

Image
  Aliyewahi kuwa mshindi wa Bongo star search mwaka 2012 mkimfahamu kama Walter Chilambo ambae kwa muda kidogo sasa hajatoa ngoma yoyote na hii imejenga maswali mengi kwa mshabiki wake kuwa ameacha muziki ama vipi. Camera za Millardayo.com na AyoTv iliweza kumpata Walter Chilambo na haya ndio maneno aliyozungumza  .. >>> ‘Bongofleva sahizi kiukweli sina plan yoyote kwasababu sahivi plan yangu nataka kuswitch na kufanya kitu kingine haimanishi kwamba naukimbia mziki wa bongofleva hapana! nauweza vizuri sana ila nimekuwa na marafiki wazuri wamenishauri kufanya kitu tofauti hata makanisani pia wachungaji kwahiyo nimekuwa na hofu ya Mungu tu’

VIDEOMPYA: Walter Chilambo ameingia kwenye Gospel, ametuletea ‘Asante’

Image
Baada ya kutangaza kuacha bongofleva Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaoitwa ‘Asante’. Anatukaribisha kuangalia, pia usiache kuniachia comment yako juu ya wimbo huu ili Walter akisoma ajue watanzania wamepokea vipi wimbo pamoja na video hii.

VIDEO: “Ushindani wa Diamond na Alikiba uendelee”- Bien wa Sauti Sol

Image
Baada ya kundi kutokea nchini Kenya , Sauti Sol kutua Tanzania mkoani Arusha kwaajili ya show itakayofanyika leo Nov 19 2016 Millardayo.com na AyoTv  imeweza kuwapata katika interview na katika maswali waliyoulizwa moja wapo ilikuwa inayosemekana ni beef kati ya Diamond Platnumz na Alikiba. Member wa Crew hiyo Bien Sol amejibu hivi. >>>’Iyo ni biashara na hata sisi Sauti Sol wengine ni mashabiki wa Diamond na wengine wa Alikiba tumefanya nyimbo na Kiba labda wengi hawakufurahi so tutafanya ngoma na Diamond pia iyo bif iendelee cause inacreate job, news, so me naona vyema iyo bif iendelee kwa mtandao tu ni sawa kwasababu kwenye muziki pia kunahitajika ushindani’ – Bien

NEW VIDEO ; TIMBULO FT BARAKA THE PRINCE INAYOITWA "USISAHAU"

Image
Msanii Timbulo leo Nov 18,  2016  ametosogezea hii video ya single mpya iitwayo ‘Usisahau’  aliyomshirikisha Baraka The Prince. Ukishamaliza kuitazama hapa sio mbaya ukituachia na comment yako ili wakali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje. Tazama hapo chini

Episode mpya ya Vanessa Mdee ‘Money Diaries’

Image
  Daniel shayo anakuletea kipande hichi cha kipindi cha Vanessa Mdee kinachoitwa "Money Diaries"  Hii ya leo inahusu "Networking" Angalia hapa chini

VideoMPYA: Chidinma anakualika kuitazama video hii ‘Fallen in Love’

Image
Mwanadada msanii kutokea Nigeria , Chidinma anayefahamika kama ‘Miss Kedike’ ambae ameshafanya collabo na rapper wa Tanzania Joh Makini  kwenye single ya ‘Perfect Combo ‘ amerudi tena kwenye air waves na ngoma yake mpya ya  ‘Fallen in Love’ . Nimekuwekea video ya mdundo huo hapa chini bonyeza play uweze kuitazama …

NEW VIDEO ; Chinbees ''ZUZU"

Image
  Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo  Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’  hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’   uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records, Chin Beez ameifanya video ya Zuzu.

AUDIO: Ngoma Mpya ya Mafikizolo ‘Kucheza’, Vanessa Mdee amehusika kwenye utunzi.

Image
   Moja kati ya ngoma zilizokuwa zikisubiriwa, ni ‘Kucheza’ ya Mafikizolo wa Afrika Kusini ambayo Vanessa Mdee amehusika katika utunzi wake.

SCENES Behind the scenes: Video ya RayVanny ‘Natafuta kiki’

Image
Mtu wa nguvu siku chache zilizopita nilikusogezea video ya  ‘natafuta kiki’  kutoka kwa msanii wa WCB Ray Vanny sasa leo  ametuletea  Part 1 ya behind the scenes ya video hiyo na kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya. Video hiyo mpya ilitayarishwa na KWETU STUDIO

BURUDANI Baraka The Prince na Alikiba kugusa headlines za Bongofleva…

Image
Ni Sept 13, 2016 ambapo muunganiko wa ladha mbili kutoka kwenye kiwanda cha  Bongo Fleva  utagusa headlines za burudani baada ya msanii  Baraka The Prince  kuachia single yake mpya aliyomshirikisha msanii  Alikiba,  wimbo umepewa jina la Nisamehe. Tarehe hiyo imethibitishwa na Baraka The Prince kupitia kwenye ukurasa wake wa Tw itter

Exclusive: Harmonize aogopa kufanya collabo na Raymond ?

Image
Hivi karibuni kwenye mitandao ya jamii kumekuwa na sekeseke kwa msanii wa bongo fleva,Harmonize kutoka kwa mashabiki wakitaka kujua kwanini hafanyi kolabo na mwana WCB mwenzake Raymond huku mashabiki wengi wakishilikia bango kuwa Harmonize anaogopa kufunikwa na Raymond. Alipoulizwa kuhusu suala la yeye kutokufanya kolabo na Raymond,Harmonize alidai kuwa hana sababu ya kuhofia kufanya kazi na msanii mwenzake Raymond na kudai kwamba kama kuogopa angeogopa kufanya kazi na boss wake ,Diamond Platnumz. “ Unajua kolabo ni biashara ya kubadilishana mashabiki,ndio maana mimi nilifanya na Diamond ili uwafikie watu wengi.Lakini ukija kwa Rayvanny na mimi,mimi ndiye nilianza kutoka kwa hiyo lazima nitengeneza misingi ili hata akija kufanya kolabo na mimi ajivunie,kihusu swala la kumwogopa kuwa atanifunika sio kweli,kama ndio hivo bhasi ningeogopa kufanya kolabo na Diamond maana anajua kuliko Rayvany na ana hits nyin gi “,alifunguka Harmonize kwenye kipindi cha Enewz cha Eatv.

New Vide :Nay wa Mitego kafanya video yake mpya na ‘Nicrox’ director wa Make Me Sing ya Diamond.

Image
Muongozaji wa video aliyetayarisha video za watanzania kama  Bado ya Harmonize, Make Me Sing ya Diamond na Aka , na Moyo Mashine ya Ben Pol ‘ Nicrox ‘ ametayarisha video mpya ya Nay Wa Mitego. True Boy amepost video mbili akiwa na director huyu huku akitusii kujiunga naye kwenye Youtube account yake ili tuweze kuona video yake mapema zaidi. Mkisema Chapaaaaaa nakiwasha.!! #KaaMbaliNao A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on Sep 4, 2016 at 1:26pm PDT Subscribe YouTube Channel Yangu.. Kuwa wakwanza kuangalia video yangu mpya itakayotoka soon! Link Kwenye Bio yangu.... #KaaMbaliNao A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on Sep 5, 2016 at 5:32am PDT

New Song: Diamond Platnumz - All the way up ( remix ) Mp3 download

Image
  Ni September 5, 2016 ambapo Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anazimiliki headlines baada ya kupost kionjo cha remix aliyoifanya ya wimbo wa  ‘All the way up’  ya French Montana.  Bofya hapo chini kusikiliza

Alikiba alivyoingia kwa surprise kwenye tamasha la Fiesta Mwanza

Image
Ni August 20, 2016  ambapo wakazi wa mkoa wa Mwanza walipata burudani kali kupitia tamasha la Fiesta ambalo liliwakutanisha wasanii wa Bongo Fleva na mkali kutokea Nigeria Wizkid kwenye jukwaa moja viwanja vya CCM Kirumba. Sasa miongoni wasanii waliotoa burudani jukwanii ni hii ya Alikiba alivyoingia kwa suprise huku watu hawakutegemea kama hata ni miongoni mwa watakapanda jukwaani. Itazame hii video hapa  

Tutarajie kazi mpya ya filamu kutoka Mama Kanumba, majibu yako hapa

Image
Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini, Steps Entertainment imeipa heshima millardayo.com na Ayo TV kueleza kazi mpya waliyopokea kutoka kwa Bi. Flora Mtegoa (Mama Kanumba) Akizungumza meneja  Masoko wa Steps Entertainment, Kambarage Ignnatus kayaongea haya>> Ma ma tayari hata juzi tulikuwa nae anasema ana kazi mpya kwahiyo kuna vitu ambazo ameambiwa alete script ili tuhakikishe kazi yake inakuwa nzuri sokoni pamoja na bajeti’ ‘ Hii filamu ina maana itakuwa ya tatu baada ya Kanumba kulikuwa na Malaika kuna filamu nyingine lakini Mama kuna Without daddy hakuwa producer yeye lakini hii itakayokuja atahusika kama mtayarishaji wa filamu kwahiyo kazi ikiwa tayari tutaileta kwenu mashabiki wa filamu’-  Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Meneja Masoko alichokizungumza kuhusu kazi za Mama Kanumba

Jose Chameleone amefunguka kwanini hajafanya kolabo na Diamond mpaka leo nakusema

Image
Msanii wa mkongwe wa muziki nchini Uganda Jose Chameleone amefunguka na kusema kuwa hana tatizo lolote linalomfanya asifanye kolabo na msanii wa bongo fleva kutoka Tanzania,Diamond kama watu watu wengi wanavyodhani kuwa wana bifu. Akiongea na mtangazaji wa Kenya, William Tuva wa kipindi cha Mseto,Chameleone amesema kuwa kupishana kwa ratiba yake na Diamond na kila mmoja kuwa busy ndicho kitu hasa kinachofanya kusiwepo na kolabo ya wawili hao “ The problem is,he is busy and I am busy lakini tumwombe Mungu tukipata wakati,it is a very simple thing ”