NEW VIDEO : DIAMOND PLATNUMZ FT RAYMOND RAYVANY- SALOME

Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz pamoja na Raymond a.k.a Rayvanny wakitokea katika Label ya WCB l eo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘ Salome ‘ Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi.