Posts

Showing posts from July 5, 2016

Diamond Platnumz katoa sababu ya kuwa na picha ya AliKiba kwenye ofisi za WCB.

Image
Akiongea na Clouds FM kupitia >> Perfect Crispin << alitoa kauli hii…. Diamond alisema “ Unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale ni ofisi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maendeleo kwenye muziki wetu, kwahiyo nimeamua kuweka zile  picha za mastaa ikiwemo ya Alikiba  kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu “

Baada ya miaka kadhaa,Diamond kampost Wema Sepetu kuhusu issue hii..

Image
Mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni miongoni mwa mapenzi yaliokuwa kwenye midomo ya Watanzania wengi kutokana na watu wengi kuvutiwa na ‘Couple’ hiyo,mwishoni mwa mwaka 2014 waliingia kwenye headlines za kuachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake Diamond Platnumz kwa sasa yuko na Mama mtoto wake Zari huku Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan, toka Diamond na Wema Sepetu kuachana tumesikia mara kadhaa wakiripotiwa kuwa hawaelewani,lakini July 05 Diamond Platnumz ameamua kuonyeshesha kuwa hawana tofauti kwa kupost tangazo la show ya Christuan Bella na Idris Sultan show ambayo inasemekana imeandaliwa na Wema Sepetu. Kwa siku kadhaa Wema Sepetu ameonekana akijirekodi akiimba nyimbo za Diamond Platnumz kwenye mtandao wa Snapchat.