SCENES Behind the scenes: Video ya RayVanny ‘Natafuta kiki’
Mtu wa nguvu siku chache zilizopita nilikusogezea video ya ‘natafuta kiki’ kutoka kwa msanii wa WCB Ray Vanny sasa leo ametuletea Part 1 ya behind the scenes ya video hiyo na kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya. Video hiyo mpya ilitayarishwa na KWETU STUDIO