Posts

Showing posts from October 30, 2016

RAIS BARACK OBAMA AMETAJA WANA HIPHOP ANAOWAKUBALI ZAIDI.

Image
Rais wa Marekani Barack Obama ametaja wasanii watano wa  HIPHOP  anaowakubali zaidi kwa sasa Nchini Marekani. Kupitia kipindi cha Sway In The Morning, amewataja  Jay Z,  Chance The Rapper , Kendrick Lamar ,  Drake  na  Kanye West . Obama pia amesema alimjua Chance The Rapper akiwa na miaka nane tu na kwamba bado Jay Z ni Mfalme wa Hiphop. CHANCE THE RAPPER DRAKE JAY Z KANYE. WEST KENDRICK LAMAR 

PICHA : Wema sepetu kwenye Rep carpet la Miss Tanzania 2016 Mwanza

Image
Hizi ni baadhi ya picha kutoka Miss Tanzania 2016, miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni  Wema Sepetu , hizi picha zake tatu kwenye Red Carpet, Looking Beautiful as Always. Kwenye mashindano haya ya urembo alitangazwa mshindi  Diana Edward Lukumai   ambaye ni Miss Kinondoni 2016.