kila asubuhi itakua inakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania kuhakikisha zote kubwa za siku unazipata, za leo October 2 2016 ziko hapa kwenye hii video.
September 23 2016 Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari , Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.
Katika list ya mastaa wakubwa kutoka bongoflevani wenye mafanikio makubwa kwa sasa hivi huwezi kuacha kumtaja Diamond Platnumz na pia ni mmoja kati ya mastaa wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii haswa mtandao wa Instagram ambapo staa huyu anafollowers Mil.2.8 sasa hivi. Septeber 30 2016 Diamond Platnumz amefanya interview na Clouds Tv kwenye kipindi cha de weekend chat show ambapo amefunguka ikiwa leo hii ataambiwa auze account yake ya Instagram hii ndio bei alioitaja, unaweza kuitazama video nimekuwekea hapo chini…