CR7 atacheza dhidi ya Manchester City
Jibu ni ndiyo. Mchezaji Christiano Ronaldo wa Real Madrid atacheza michuano ya nusu fainali ya UEFA Champions league wakivaana na Manchester City baada ya kupata majibu ya vipimo vilivyopimwa mapema Leo hii. Hii imethibitishwa na daktari wa timu pamoja na kocha wa Real Madrid