Posts

Showing posts with the label Sam Misago

Cristiano Ronaldo katumia milioni 11 za Tz kununua hii saa.

Image
Cristiano Ronaldo akiwa na kitu kizuri kama viatu ,gari huwa hasiti kukionyesha mtandaoni na hivi karibuni ametuonyesha saa yake aina ya TAG Heuer CARRERA yenye thamani ya dola 5299 za kimarekani ambazo ni kama milioni 11 za pongo. Ronaldo aliandika twitter ‘ Time to relax and bring out my Tag Heuer Carrera to fuel me up before the big match! ‘,  

Harmonize wa WCB kapitia mengi na kwenye hii video kayaimba,’Matatizo’ iko hapa.

Image
  Hii video mpya ya msanii wa WCB Wasafi, Harmonize inaitwa ‘Matatizo’ iko hapa.

Diamond Platnumz katoa sababu ya kuwa na picha ya AliKiba kwenye ofisi za WCB.

Image
Akiongea na Clouds FM kupitia >> Perfect Crispin << alitoa kauli hii…. Diamond alisema “ Unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale ni ofisi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maendeleo kwenye muziki wetu, kwahiyo nimeamua kuweka zile  picha za mastaa ikiwemo ya Alikiba  kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu “

Pep Guardiola katambulishwa mbele ya mashabiki 5,800 wa Man City,alichosema kuhusu kumsajili Lionel Messi.

Image
Pep Guardiola ’45’ ametambulishwa rasmi kwa mashabiki wa klabu ya Manchester City kama kocha wao mpya. Guardiola mbele ya mashabiki 5,800 kwenye jukwa la shule ya mpira ya Man City Football Academy. Pep Guardiola anaanza mazoezi na Man City Jumatatu ya July 3 2016,Guardiola pia ameongelea tetesi za kumsajili Lionel Messi  kutoka Barcelona nakusema “ Hilo jambo haliko kabisa kwenye mipango yangu “

Kylie Jenner arudiana na Tyga,asema ni mume wake sasa.

Image
Kylie Jenner na rapa Tyga, wamerudiana na tayari T Raww anaitwa ‘Husband’. Tyga na Kylie Jenner wameweka wazi kuwa wamerudiani na mapenzi yao ni ya moto moto zaidi baada ya mwana dada Kylie kuanza kumuita Tyga ‘Mume Wangu’. Kwa mujibu wa mtandao wa PEOPLEwawili hawa wanapendana sana na mapenzi yao yamekuwa na nguvu zaidi. Familia ya Kylie haina tatizo kabisa na kurudiana kwa wawili hawa sababu wanaimani mahusiano yao hayata dumu. Kwenye Interview hivi karibuni Tyga alisema umaarufu wa maisha yake ya mapenzi na Kylie ulifunika mambo yake ya muziki.

MUONEKANO WA STUDIO YA WCB IKIWA NA PICHA YA ALI KIBA UKUTANI

Image
   Hapa chini kuna video fupi inayoonyesha muonekano wa studio ya WCB ikiwa na picha ya Ali Kiba a.k.a #King_kiba katika ukuta wake . Tazama video ili kujionea zaidi.