Diamond Platnumz ameonyesha nyumba yake na Zari Afrika ya Kusini (South Africa )
Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zari ambayo amemfanyia kama suprise aliyoinunua nchini South Afrika , na kuweka caption nzito na hivi ndivyo alivyotiririka. >>’ They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House… and today a person that, they are daily abuse and saying that he’s broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media….. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House….Can’t wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow….I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga… halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanun...