Posts

Showing posts with the label Udaku Tz

U Heard: Kilichotokea kwenye familia ya Calisah baada ya video yake na Wema Kuvuja

Image
November  14 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na Calisah kuhusu video iliyomuonesha yeye akiwa na  staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu wakikiss, Calisah amesema baada ya video hiyo kuvuja, bibi yake alipoambiwa kwa sababu alikuwa anamtetea sana Calisah alipata mshituko na kufariki…… >>>’Hayo mambo yamesababisha mpaka nimepoteza mtu, amepata presha amefariki leo, siko sawa kabisa imenicost sana hata siwezi kuongea nimepoteza bibi yangu kwa sababu ya hivi vitu imeniumiza sana halafu mimi sijafanya hivyo vitu nivujishe video ili iweje ‘ ;- Calisah

Dogo Janja na Agnes Masogange ni couple mpya town?

Image
  U Heard ya XXL Clouds FM leo November 2, 2016 Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange .  Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku Dogo Janja akiangalia sehemu za nyuma za Agness. “Masogange ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu kushoot video’ – Dogo Janja matatiz ‘Unajua baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya, ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua na o” – Dogo Janja

Penzi la Linah na Idris Sultan hadharani

Image
Taarifa za mahusiano ya Linah Sanga na Idris zinazidi kuwa kusamba na hii ni picha mpya kutoka #Snapchat ikimuonyesha Linah akiwa karibu na Idris Sultan,

Harmonize na Jackline Wolper hawaonyeshani mapenzi hadharani tena,nini tatizo?Harmonize amefunguka..

Image
Harmonize na Jackline Wolper ni moja kati ya couples iliyoanza kwa mbwembwe nyingi na ku kiki kwenye vyombo vingi vya habari,lakini kwa sasa couple hiyo imeoneka kupoa tofauti na mwanzoni. Alipoulizwa kwenye kupindi cha Enewz cha Eatv kama kuna tatizo,Harmonize amedai hakuna tatizo kati yake na Wolper bali upya wa penzi ulikuwa ukiwasumbua na pia kwa sasa wameshakuwa watu wazima kwa hiyo hawana haja ya kujianiaka kila siku. “ Siku zinavyokwenda binadamu anapata mawazo mapya na umri unazidi kusogea,pia kuna kitu kinaitwa upya,inawezekana upya ulikuwa unatusumbua,shamra shamra watu wajue kwamba tunapendana lakini sasa hivi imeshazoeleka kwamba Harmonize na Wolper wako hivi “,Alieleza Harmoniz

VIDEO: Kwenye Basi la Wasanii Shilole kauliza swali Christian Bella akamtaja Nuh Mziwanda, acha amrukie

Image
Tamasha la FIESTA 2016 lipo kwenye ziara yake ya kutembea kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo moja ya vitu ungependa kuona ni jinsi Wasanii wanavyosafiri pamoja kwenye basi na maongezi yao wakati mwingi. Wakati FIESTA ikisubiriwa Jumamosi ya kesho hapa Shinyanga uwanja wa nje wa Kambarage, nakusogezea huu utani kutoka kwenye basi la Wasanii ambapo Shilole kwa utani kuna swali aliuliza kuhusu Wanaume wake alafu Christian Bella akamtaja Nuh Mziwanda ambaye ni mpenzi wa zamani wa Shilole Angalia video kujua kilichoendelea;

Audio: BASATA imemfungia Nay wa Mitego, hakuna kufanya muziki….

Image
Kama utakuwa unakumbuka mnamo July 16, 2016 Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) lilitoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego PALE KATI kutokuwa wa kimadili. Sasa leo July 27, 2016 millardayo.com imepata taarifa nyingine iliyotolewa na BASATA kuhusu kumfungia msanii huyo kwa muda usiojulikana kutokana na makosa matatu. ‘Ni kweli kwamba tumetoa tamko hilo tulifuata sheria na kanuni labda nizungumzie kile ambacho kilichotufanya tuchukue maamuzi hayo, moja nadhani mnakumbuka ilikuwa tarehe 16 mwezi wa saba Baraza la Sanaa ilitoa taarifa kwa umma kuhusu kuufungia wimbo wa Msanii huyo Pale Kati kutokana na maudhui ya mule ndani’- Godfrey Mngereza ‘Kwahiyo hivi karibuni tulikaa tena kikao na akakiri kwamba kweli wimbo wake haupo kimaadili pia tukaona ngoja tumfungie kwa muda usiojulikana kutokana na tamko la wizara kuhusu maadili ya wimbo huo, alitoa wimbo wa Pale Kati na kuusambaza bila Baraza la Sanaa kuwa na taarifa yoyote kwahiyo ndio maan...