Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake . ‘Kwanza Mose Iyobo aliniambia niitoe hii mimba nilipomuuliza kwanini akasema najua wewe Aunty Ezekiel huwezi kuzaa na mimi, akaniambia hajajipanga sababu ana mtoto mwingine, nilimwambia hii mimba ni yangu na kila afanye maisha yake kama ni hivyo…. ‘ – Aunty Ezekiel Ukitaka kupata full story bonyeza play kwenye hii video hapa chini
Posts
Showing posts from July 1, 2016
MUONEKANO WA STUDIO YA WCB IKIWA NA PICHA YA ALI KIBA UKUTANI
- Get link
- X
- Other Apps
Portugal / Ureno
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya kusimama kwa takribani siku mbili kwa ajili ya mapumziko ya mechi za Euro 2016 , usiku wa June 30 2016 ulichezwa mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano hiyo ya Euro 2016 , mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Euro 2016 ulikuwa kati ya Poland na Ureno . Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Stade Velodrome jijini Marseille Ufaransa wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya elfu 60, umemalizika kwa timu ya taifa ya Ureno kuibuka na ushindi wa mikawaju ya penati 3-5, hiyo inatokana na dakika 120 kumalizika kwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na Robert Lewandoski dakika ya 2 kwa Poland na Renato Sanchez dakika 33 kwa upande wa Ureno. Kwa matokeo hayo Ureno inakuwa timu ya kwanza kufuzu katika hatua ta robo fainali na itakutana na mshindi kati ya Wales dhidi ya Ubelgiji , kama utakuwa unakumbuka vizuri Ureno katika mechi 11 amewahi kuifunga Poland mara 5, sare mara 3 na amewahi kupoteza mara 3 toka October 16 1976...
Wiz Kid
- Get link
- X
- Other Apps
Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines leo June 30 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuwa Wizkid amefanya collabo msanii wa marekani Chrisbrown kwenye hit yake mpya iitwayo “SHABBA” . https://youtu.be/a-mu2iQY8yQ Bofya hapo juu kutazama vidio ya nyimbo hiyo .
ABDU KIBA KUJIUNGA WCB??
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Abdu Kiba yuko tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya Diamond Platnumz, June 8 2016 AyO TV pamoja na millardayo.com imekutana na Abdu Kiba na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB >’ Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’