CR7 atacheza dhidi ya Manchester City


  Jibu ni ndiyo. Mchezaji Christiano Ronaldo wa Real Madrid atacheza michuano ya nusu  fainali ya UEFA Champions league wakivaana na Manchester City baada ya kupata majibu ya vipimo vilivyopimwa mapema Leo hii. Hii imethibitishwa na daktari wa timu pamoja na kocha wa Real Madrid

Comments

Popular posts from this blog

Rwanda yanunua ndege ya kipekee Afrika nzima, ni ya pili duniani (+Picha)

Maneno ya Harmonize kwa wanaosema anamcopy Diamond Platnumz

U HEARD: ‘Mimi ninavyong’anganiwa na wanawake naanzaje kumbaka’-Nay wa Mitego