Wiz Kid


Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines leo June 30 2016  kupitia kituo kikubwa cha kimataifa  MTV Base wameripoti kuwa Wizkid amefanya collabo msanii wa marekani  Chrisbrown kwenye hit yake mpya iitwayo “SHABBA”.

https://youtu.be/a-mu2iQY8yQ 
Bofya hapo juu kutazama vidio ya nyimbo hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that