ExclusiveVIDEO: Mambo manne atayoyapata Alikiba kwenye mkataba mpya na Sony Music
Haya mambo manne ni sehemu tu ya mambo ambayo Alikiba atafaidika nayo baada ya kusaini mkataba na kampuni kubwa na maarufu kwenye biashara ya muziki duniani SONY MUSIC, bonyeza play kwenye hii video hapa chini ili kufahamu zaidi
Comments