NEW VIDEO: DARASA FT BEN POL - MUZIKI
Bongofleva inajivunia pia kuwa na Darassa, wengi wameimba nae sana kwenye hit single ‘Too Much’ ila leo katuletea hii mpya ya ‘muziki‘ kamshirikisha Ben Pol,
video imefanywa hapahapa Tanzania na Director Hanscana, ukishaitazama
tafadhali usiache kuandika comment yako ili wakipita hapa baadae wajue
watu wao wameipokeaje.
Comments