Kodi za kuwadhalilisha wanawake zapigwa marufuku

MAGUFULI
HOME NIFAHAMU
WASILIANA NAMI
MATANGAZO TEAM
WASTARA AELEZA KWANINI NDOA YAKE IMEVUNJIKA NDANI YA SIKU 80
ALICHOKIFAYA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI
ZILIZOSOMWA SANA
MGAWANYO WA STORI
RELATED ITEMS DODOMA
HABARI DAILY
Mei 8 2016 ni siku ya mama wakinamama Duniani, Tanzania pia imekuwa moja ya nchi iliyofanya maadhimisho hayo, Hapa nakukutanisha na Makamu wa Rais Samia Suluhu ambaye leo alikuwa Dodoma na baada ya kutotubia wananchi wake akaguswa na hili la kodi kwa wafanyabiashara wanawake na kutoa maamuzi..
‘ Mimi kama mama nachukizwa na jambo moja kubwa nililoliona kule Moshi na baaadhi ya maeneo kule Arusha, kuna kodi zinatolewa katika masoko, Ukipita masoko ya Moshi na Arusha Unakuta wakinamama wanasimama na ndizi kichwani anasimama na ndizi yake hadi aiuze’
‘Na akiiweka chini anatozwa kodi na kodi ile ni sawa na bei anayoiuza. Kwahiyo mama anabakia na ndizi yake kichwni mpaka aiuze .’
‘Naelekeza Wakurugenzi wa halmashauri kufuta kodi mara moja kodi hiyo, na nitafanya ziara ya kufuatilia utekelezaji wa jambo hili. Na siotu kodi za ndizi bali kodi zote zinazowazalilissha wakinamama’

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that