Baada ya miaka kadhaa,Diamond kampost Wema Sepetu kuhusu issue hii..
Mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu
ni miongoni mwa mapenzi yaliokuwa kwenye midomo ya Watanzania wengi
kutokana na watu wengi kuvutiwa na ‘Couple’ hiyo,mwishoni mwa mwaka 2014
waliingia kwenye headlines za kuachana na kila mmoja kuendelea na
maisha yake
Diamond Platnumz kwa sasa yuko na Mama mtoto wake Zari huku Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan,toka Diamond na Wema Sepetu kuachana tumesikia mara kadhaa wakiripotiwa kuwa hawaelewani,lakini July 05 Diamond Platnumz ameamua kuonyeshesha kuwa hawana tofauti kwa kupost tangazo la show ya Christuan Bella na Idris Sultan show ambayo inasemekana imeandaliwa na Wema Sepetu.
Kwa siku kadhaa Wema Sepetu ameonekana akijirekodi akiimba nyimbo za Diamond Platnumz kwenye mtandao wa Snapchat.

Comments