SCENES Behind the scenes: Video ya RayVanny ‘Natafuta kiki’
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mtu wa nguvu siku chache zilizopita nilikusogezea video ya ‘natafuta kiki’ kutoka kwa msanii wa WCB Ray Vanny sasa leo ametuletea Part 1 ya behind the scenes ya video hiyo na kuona jinsi ilivyokuwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.
Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins , Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic ‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.
Ni September 5, 2016 ambapo Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anazimiliki headlines baada ya kupost kionjo cha remix aliyoifanya ya wimbo wa ‘All the way up’ ya French Montana. Bofya hapo chini kusikiliza
Comments