NEW VIDEO : DIAMOND PLATNUMZ FT RAYMOND RAYVANY- SALOME

Wakali kutokea kiwanda cha Bongofleva
Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz pamoja na Raymond a.k.a
Rayvanny wakitokea katika Label ya WCB l eo September 18 2016 wanayofuraha kushare na sisi mdundo wao mpya unaoitwa ‘ Salome ‘

Tayari nimekusogezea hapa chini video yao, ukimaliza kuitazama niachie comment yako kuniambia wametisha kwa asilimia ngapi. 

Comments

Popular posts from this blog

R.C Paul Makonda na Wafanyakazi Hewa

Video: Godzila kafunguka kuhusiana na bifu yake na Billnass