VIDEO: Diamond Platnumz ametaja gharama alizonunulia Nyumba South Afrika

September 23 2016 Diamond Platnumzaliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari, Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita  siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that