VIDEO: Rais Magufuli alivyojibu Waandishi kwenye Maswali na Majibu IKULU (PART 1)
November 4 2016 Rais Magufuli alikutana na Waandishi wa habari IKULU, ni baada ya kuwaalika kwenye kutimiza kwake mwaka mmoja toka aingie madarakani na kwenye hii video (PART 1) anajibu maswali waliyomuuliza, tazama hii video hapa chini.
Comments