NEW VIDEO ; Chinbees ''ZUZU"
Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’ hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’ uliotayarishwa na Producer Luffa kutoka Switch Records, Chin Beez ameifanya video ya Zuzu.
Comments