Dogo Janja na Agnes Masogange ni couple mpya town?
U Heard ya XXL Clouds FM leo November 2, 2016 Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange.
Dogo Janja
amesema kuwa picha inayoonekana kwenye mitandao watu wameitafsiri
tofauti tu wao walikua sehemu moja ila mpiga picha alipigia sehemu
ambayo iliwaonyesha kama wako chumbani huku Dogo Janja akiangalia sehemu
za nyuma za Agness.
“Masogange
ni mshikaji wangu sana ni mtu wangu wa karibu watu wamezoea kuniona na
marafiki wa kiume tu ni rafiki yangu na niko kwenye maongezi naye kuhusu
kushoot video’ – Dogo Janja
matatiz‘Unajua
baada ya Kidebe nafikiria jinsi ya kurudi tena na wimbo wangu mpya,
ukitoa mambo ya kikazi yule ni mshikaji wangu, Agness pale alikua amekaa
tu sio kwamba alikua ananionesha makalio ila nisipomtamani yule nitakua
na o” – Dogo Janja
Comments