Bye Bye Mzee Majuto
Kauli yake mpya leo May 1 2016 kupitia Instagram ya CloudsFM kuna maelezo yafuatayo >>> ‘Gwiji la sanaa ya maigizo nchini Amri Athmani aka Mzee Majuto ametangaza rasmi kustaafu kuigiza na kutumia muda wake kumtumikia mola wake. Majuto amekuwa akifanya sanaa hii ya maigizo kwa muda mrefu na alianza kupata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 90’
Comments