Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Ni kati ya Real Madrid na Atletico Madrid au Zidane na Diego simion. Timu hizo mbili zimefanikiwa kuingia kataka fainali ya michuano hiyo baada ya Bayern Munich ya Ujerumani kushindwa kufunga mabao ya kutosha dhidi Atletico Madrid ya Hispania .
Pia Manchester City ya England imeshindwa kung'ara mbele ya Real Madrid ya Hispania baada ya kupokea kichapo cha goli moja kwa bila, goli hilo lilifungwa na Gareth Bale dakika ya 20' ya Mchezo huo.
Kwa matokeo hayo na kwa sheria za UEFA CHAMPIONS LEAGUE fainali in kati ta Real Madrid na Atletico Madrid
Kama kawa kama dawa kombe linabaki Hispania.
Comments