Kipepeo ya Kayumba Juma . Mshindi BSS 2015.
Msanii wa Bongo fleva ambaye jina lake au kipaji chake kilianza kuonekana kupitia mashindano ya Bongo Star Search 2015,
Kayumba Juma amerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia ngoma yake mpya ‘Kipepeo’ akimshirikisha Enock Bella ,
Kayumba kaachia hiyo baada ya awali kufanya vizuri na video ya ngoma yake ya kwanza ‘Katoto’ .
Comments