Kishuka kwa Mizigo Bandarini
Wakati mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikithibitisha ufanisi katika upakuaji na uondoshaji mizigo na usalama wa mali katika Bandari ya Dar es Salaam inakuwa sawa, ziliripotiwa habari mpya kuwa Bandari ya Dar es Salaam imepungua kupokea mizugo kupitia Bandari hiyo.
“Biashara za bandari dunia nzima zimeshuka kipindi hiki kuna mtikisiko kidogo kutokana na uchumi wa dunia, hata juzi tuliongea na wenzetu wa Singapore ambao walikuja, nchi yao ni moja ya nchi inayofanya biashara ya bandari kwa kiasi kikubwa wanasema ni kweli wame kumbana na tatizo hilo la kushuka kwa mizigo katika kipindi cha hii miezi mitatu “
#MillardAyoUPDATES. Mamlaka ya Bandari Tanzania ‘TPA’ imesema ni kweli kuna kuna upungufu wa mizigo inayoingia na hii ni kwa bandari zote dunia nzima kutokana na mtikisiko wa uchumi duniani.
Comments