Matokeo EPL leo

 Leicester City wameshindwa kutwaa ubingwa baada ya kushindwa kutamba mbele ya mashetani wekundu Manchester United kwa kutoka safe ya 1-1.
Wakati Manchester City imepokea kipigo kilali kutoka kwa Southampton baada ya kupigwa 4-2

Pia Swansea imempiga Liverpool goli 3-1

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that