ABDU KIBA KUJIUNGA WCB??
>’Si kweli kama watu walivyomaanisha nashangaa taarifa ambazo zinasambaa kuwa mimi ninaweza kukaa mezani na kusaini WCB hapana mimi sikumaanisha hivyo kwa sababu kwanza mimi niko chini ya Lebel yangu ambayo wanasimamia muziki wangu, halafu kwenye upande wa kuimba sidhani kama upande ule ninaweza kupata madini zaidi ya huku’
Comments