Cristiano Ronaldo katumia milioni 11 za Tz kununua hii saa.






Cristiano Ronaldo akiwa na kitu kizuri kama viatu ,gari huwa hasiti kukionyesha mtandaoni na hivi karibuni ametuonyesha saa yake aina ya TAG Heuer CARRERA yenye thamani ya dola 5299 za kimarekani ambazo ni kama milioni 11 za pongo.

Ronaldo aliandika twitter Time to relax and bring out my Tag Heuer Carrera to fuel me up before the big match!‘,

 ronaldoTAG Heuer CARRERA  12

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that

Diamond Platnumz ameonyesha nyumba yake na Zari Afrika ya Kusini (South Africa )