Diamond Platnumz na Meno ya Gold
Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria, na kuelezea pia muonekano wake ulionekana ukiwa na mabadiliko ya meno ya Gold, tazama hii video hapa chini
Comments