Portugal wins over Poland through penalty shootouts. Since there were no winner after the full time. Robert Lewandowski was the first one to open the scoring follows by the Portugal equalizer from Luz Sanchez.
Mei 2 2016 Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda amewaapisha wakuu wa idara na maofisa utumishi wote wa manispaa hiyo ili kusaidia kubaini watumishi hewa. Makonda kafikia hatua hiyo baada ya watumishi hao kuwa wanampa idadi tofauti kila anapohitaji kupata taarifa, akizungumza na Waandishi wa habari Dar es salaam Makonda anasema.. >>> ‘Mara ya kwanza mliniambia tuna watumishi hewa 71, mara ya pili mkasema 87 na mara ya tatu wakapungua hadi 66 tena mara zote hizi ni idadi ya watumishi hewa kimkoa jambo ambalo roho wa Mungu alinikataza kutangaza‘ ‘ Sasa Mungu kanipa njia ambayo nimewaambia wiki iliyopita, Leo hii wameongezeka wamefika watumishi hewa 209 huku ziai ya bilioni 2 zikipotea. Je, nisinge msikiliza Mungu si mgenifanya nikafukuzwa kazi? ‘ Baada ya maelezo hayo Mkuu wa mkoa akawapatia mikataba ya viapo katika kutafuta watumishi hewa, lengo likiwa ni kuwataka kila mtumishi kuwabainisha watumishi wao hewa katika idara zao na atakayebainika kutoa taarifa z...
Huduma za usafiri wa ndege zinazidi kushika kasi kwenye mataifa ya Afrika Mashariki kila siku, Kutoka nchini Rwanda nimeipata hii ya Shirika la ndege la Rwanda, RwandAir kununua ndege mpya aina ya Boeing 737-800 Next Gen ambayo inatarajiwa kuongeza ushindani wa safari za anga duniani . RwandAir imekuwa kampuni ya kwanza barani Afrika na ya pili duniani kununua ndege ya aina hiyo ambayo imewekwa vifaa vya kuwezesha abiria kutumia huduma za intaneti kwa njia ya Wi-Fi. Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 154 ilitolewa oda ya kununuliwa na Rwanda miaka 6 iliyopita, imetua kwenye uwanja wa ndege wa Kigali November 16, 2016 saa 10 usiku. Waziri wa uchukuzi wa Rwanda Alexis Nzahabwanimana, amesema ndege hiyo mpya itawezesha shirika hilo kupanua safari zake barani Asia, Ulaya na Marekani. Mwezi September mwaka huu, Serikali ya Rwanda ilinunua ndege nyingine ambayo ni ya kwanza Afrika Mashariki aina ya Airbus 330-200, iliyopewa jina la ...
August 11 2016 staa wa muziki wa bongo flava Dully Sykes aliachia video ya mdundo mpya unaoitwa ‘ Inde ‘ ambao ndani yake alimshirikisha staa kutokea laber ya WCB Harmonize ambapo katika baadhi ya comments za mashabiki zilionyesha kumwelekea Harmonize wakidai kuwa kamcopy boss wake Diamond katika style za kucheza pamoja na uvaaji wake. . Sasa leo August 13 2016 Harmonize kupitia account yake ya instagram kaamua kufunguka ya moyoni na kusema…>>>’ Mhhh copy! copy! copy!….. mwisho wa siku hata ukinya utaambiwa kunya kama wewe usimcopy Diamond ebwana mzee #simbaa video ijayo wacha nianze kuvaa Dera maana nguo zote ushazivaa ‘
Comments