MUONEKANO WA STUDIO YA WCB IKIWA NA PICHA YA ALI KIBA UKUTANI
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Hapa chini kuna video fupi inayoonyesha muonekano wa studio ya WCB ikiwa na picha ya Ali Kiba a.k.a #King_kiba katika ukuta wake . Tazama video ili kujionea zaidi.
Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins , Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic ‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.
Taarifa za mahusiano ya Linah Sanga na Idris zinazidi kuwa kusamba na hii ni picha mpya kutoka #Snapchat ikimuonyesha Linah akiwa karibu na Idris Sultan,
Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zari ambayo amemfanyia kama suprise aliyoinunua nchini South Afrika , na kuweka caption nzito na hivi ndivyo alivyotiririka. >>’ They are busy bragging them selves that they are Rich while their Kids staying in the Renting House… and today a person that, they are daily abuse and saying that he’s broke & Poor Bought a House, so that their Kids can have a better life, as they always wish on Social Media….. Happy Birthday Mama tee i hope you like our new South African House….Can’t wait for your Big weekend in Zanzibar tomorrow….I love you So much mama tee, we ndio Salome wa Moyo wangu pekee @zarithebosslady (Wanakazana kujisifu Matajiri Ilhali watoto zao wanaishi kwenye Nyumba zakupanga… halaf leo yuleyule wanaemtukana kutwa kwenye Mitandao kuwa Masikini, kajawa na shida, Kanun...
Comments