Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz  Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake
.
‘Kwanza Mose Iyobo aliniambia niitoe hii mimba nilipomuuliza kwanini akasema najua wewe Aunty Ezekiel huwezi kuzaa na mimi, akaniambia hajajipanga sababu ana mtoto mwingine, nilimwambia hii mimba ni yangu na kila afanye maisha yake kama ni hivyo….‘ – Aunty Ezekiel


 Ukitaka kupata full story bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that