NEW VIDEO; Yemi Alade na Sauti Sol wametuletea hii ‘Africa’

 


Mtu wangu tuna kila sababu ya kujivunia  muziki wa East Africa kuzidi kuchukua rotation kubwa kwenye Bara la Africa, July 6 2016 Yemi Alade anawashirikisha Sauti Sol kwenye mdundo mpya unaoitwa ‘Africa‘ video ikiongozwa na Evie Etseyatse, usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that