Pep Guardiola katambulishwa mbele ya mashabiki 5,800 wa Man City,alichosema kuhusu kumsajili Lionel Messi.
Pep Guardiola ’45’ ametambulishwa rasmi
kwa mashabiki wa klabu ya Manchester City kama kocha wao mpya. Guardiola
mbele ya mashabiki 5,800 kwenye jukwa la shule ya mpira ya Man City
Football Academy.
Pep Guardiola anaanza mazoezi na Man City
Jumatatu ya July 3 2016,Guardiola pia ameongelea tetesi za kumsajili
Lionel Messi kutoka Barcelona nakusema “Hilo jambo haliko kabisa kwenye mipango yangu“
Comments