Alikiba alivyoingia kwa surprise kwenye tamasha la Fiesta Mwanza

Ni August 20, 2016 ambapo
wakazi wa mkoa wa Mwanza walipata burudani kali kupitia tamasha la
Fiesta ambalo liliwakutanisha wasanii wa Bongo Fleva na mkali kutokea
Nigeria Wizkid kwenye jukwaa moja viwanja vya CCM Kirumba.
Sasa miongoni wasanii waliotoa burudani jukwanii ni hii ya Alikiba alivyoingia kwa suprise huku watu hawakutegemea kama hata ni miongoni mwa watakapanda jukwaani.
Itazame hii video hapa
Comments