New Song: Diamond Platnumz - All the way up ( remix ) Mp3 download
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Ni September 5, 2016 ambapo Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anazimiliki headlines baada ya kupost kionjo cha remix aliyoifanya ya wimbo wa ‘All the way up’ ya French Montana.
Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins , Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic ‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.
Comments