DIAMOND PLATNUMZ FT NE-YO
Hii ni Video za Diamond Platnumz na Neyo wakiwa kwenye mishe za kukamilisha video ya wimbo wao Marry You.
Hii collabo imefanyika Nairobi Kenya wakati Neyo alikuwa kwenye Coke Studio Afrika na Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani.
Comments