Alikiba kupeform kwenye usiku wa Tuzo za Mtv Africa Music Awards 2016 ‘MAMA’S’..
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Meneja wa RockStar 4000 Seven Moshaamethibitisha kuwa msanii wao The KingAli Kiba atafanya show kwenye usiku a Tuzo za MAMA ‘MTVAfrica Music Awards 2016‘.
Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins , Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic ‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.
Ni September 5, 2016 ambapo Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz anazimiliki headlines baada ya kupost kionjo cha remix aliyoifanya ya wimbo wa ‘All the way up’ ya French Montana. Bofya hapo chini kusikiliza
Comments