New Vide :Nay wa Mitego kafanya video yake mpya na ‘Nicrox’ director wa Make Me Sing ya Diamond.


Muongozaji wa video aliyetayarisha video za watanzania kama  Bado ya Harmonize, Make Me Sing ya Diamond na Aka , na Moyo Mashine ya Ben Pol ‘Nicrox‘ ametayarisha video mpya ya Nay Wa Mitego.
True Boy amepost video mbili akiwa na director huyu huku akitusii kujiunga naye kwenye Youtube account yake ili tuweze kuona video yake mapema zaidi.

A video posted by NayTrueboy (@naytrueboy) on

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that