Staa wa Bongo Movie adaiwa kuzaa mtoto ambaye hajafanana na baba yake
September 02 2016 kwenye U Heard ya Soudy Brown amezungumza na staa wa Bongo Movie Iren Uwoya kuhusu taarifa zilizosambaa kwenye mitandao kuwa mtoto aliyemzaa si wa mume wake Ndikumana kwa kuwa hajafanana naye, millardayo.com imekuwekea full stori.
Comments