Ujumbe mzito wa Chris Brown baada ya tetesi za Lil Wayne kutangaza kuacha muziki.

Baada ya twit kali kutoka kwa Rapa Lil Wayne iliyoashiria kustaafu muziki kwa msanii huyu, rnb staa Chris Brown ametoa ujumbe mzito juu ya mchango wa Lil Wayne kwenye muziki wake.
Kupitia Instagram, Chris Brown aliandika hivi “Lil Wayne amenisaidia sana kwenye muziki wangu, amekuwa mshawishi wangu mkubwa, milele atakuwa rapa mkali zaidi kuwahi kuishi, wasanii wengi wa rapa hata msingejua pakuanzia kama isingekuwa Wayne, wote nyie ni wanafunzi wake hata kama hamtaki kusema, Wayne kaandika nyimbo kibao za wasanii wa Cash Money, mambo yakiwa sawa mnakuwa na sisi ila yaki haribika mnatukimbia

 lil wayne

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that